Thursday, 18 April 2019

Je wajua Barubaru ni nini?

Barubaru

Barubaru ni neno linamaanisha
kijana aliepevuka.

Aidha Barubaru ni jamii ya samaki aina ya papa

Mvuli

Mvuli ni neno lilonamaanisha
kijana wa kiume

No comments:

Post a Comment