Thursday, 18 April 2019

Je wajua Barubaru ni nini?

Barubaru

Barubaru ni neno linamaanisha
kijana aliepevuka.

Aidha Barubaru ni jamii ya samaki aina ya papa

Mvuli

Mvuli ni neno lilonamaanisha
kijana wa kiume

Tuesday, 16 April 2019

Misha

Ukitaka kuona utamu wa maisha kuwa mjanjaa....
Ukitaka furaha ishi kwa kujiamini, fanya mambo yako bila wasi....
.

  • SAIDIA WENZAKO
  • PENDA WENZAKO
  • SHI UWEZAVYO
  • TUNZA VYAKO